Menu

Unaniona

singer K2ga

Play YoutubePlay Music
image artist illustration
Posted : May 13, 2021
1.0x
MIN
:
SEC
Auto-Scroll Duration

1. Check the track length on YouTube or Spotify (e.g. 3:45).

2. Enter minutes & seconds in the boxes.

3. Press Play — the page scrolls smoothly and finishes together with the song.

Tip: Use + / − to fine-tune the speed anytime.

capo: 1st fret

[intro]

Am F G Am
Am F G Am

[verse]

Am F
Nilipata tabu kupata penzi lako
G Am
Huku kando ulisita moyo wako
Am F
Beki ya moyo funguo ipo kwako
G Am
mimi mazima siwezi toka kwako

Am F
Jamani moyo wangu usijezima
G Am
Kulalamika ka ukilema
Am F
Kunipa penzi lako hata huruma huna
G Am
--unanitesa sana

Am F
Jamani moyo wangu usijezima
G Am
--unanitesa sana
Am F
Kunipa penzi lako hata huruma una
G Am
--unanitesa sana ( aaah ma )

[chorus]

Am F
--kitochi kibuti-- kumwagwa
G Am
Kutoswa-- kutemwa ( inauma sana )
Am F
--na kitochi kibuti-- kumwagwa
G Am
Kutoswa-- kutemwa--

Am F
--sasa hivi unanuna ( aha )
G Am
Dhamani mi sina ( aha )
F
Unavyonisema ( aha )
G Am
Sina maana tena ( aha )
F
Hivi unanuna ( aha )
G Am
Dhamani mi sina ( aha )
F
Unavyonisema ( aha )
G F Am F G Am Am F G Am
Sina maana tena ( aha )

[verse]

Am
Wasi wasi wa moyo nilonao
F G
moyo wako bado hujaona
Am
--kuwa na wewe bado naona
F C
Uzito wa penzi lako uzani unagoma

Am F
--basi nipe sikio mi leo
G
Nisikie niyasemayo
Am F
--usinipeleke mbio saana
G
Kama hulitaki we sema

Am
--maana hata raha sina( sina )
F G
--sina pa kupapasa sina( sina )
Am
--sina pa kushika sina( sina )
F G
--sina pa kuhemea sina( sina )

[chorus]

Am F
--kitochi kibuti-- kumwagwa
G Am
Kutoswa-- kutemwa ( inauma sana )
Am F
--na kitochi kibuti-- kumwagwa
G Am
Kutoswa-- kutemwa--

Am F
--sasa hivi unanuna ( aha )
G Am
Dhamani mi sina ( aha )
F
Unavyonisema ( aha )
G Am
Sina maana tena ( aha )
F
Hivi unanuna ( aha )
G Am
Dhamani mi sina ( aha )
F
Unavyonisema ( aha )
G Am
Sina maana tena ( aha )