Contact About Blog

Basic Chords Mbosso - Mtaalam

CHORDS For

Transpose

chordband » Mbosso » Mtaalam

no capo!
[intro]
D----G----A----D- na mbosso khan tena D----G----A----D-
[verse (1)]
una kila sabaDbu
ya kusimama kimaso Gmaso
mungu kweli wa ajaAbu
kanionyesha kwa yangu Dmacho
chukua zangu swaDhabu
mi nibaki na dhambi Gzako
unishikishe adaAbu
mida ya kulala nitokwe Djasho
[verse (2)]
mi sijui kupigDna mwili wangu wa mapensi deGar
tusipende kugombaAna mi mwepesi kulialiDa
si kujibanabana, raha ya penzi kujiachiGa
wako mahututi maAma, nimekufa nimejifiDa
[pre chorus]
eeeh! Analambishwa aGsali
kwenye mzinga wa Anyuki, tamu ni haDtari
nalambishwa aGsali
nachezeshwa buAzuki, dudu chalicDhali
[chorus]
nimempata!D
nimempata mtaalamG nimempata
Animempata mtaalamD nimempata
Dnimempata mtaalamuG nimempata
Animempata mtaalamuD nimempata
[interlude]
D G A DD G A D
[verse (3)]
mi mtanzania wa halaDli, ila chembechembe za indiGa
mungu kaninyima ufahaAri, ila kwa huba najisifiDa
sitakuhonga magaDri, ila mahaba utasanziGa
penzi kachumbari kwa ugaAli na pilipili ya kushagiDa
aah eeh! nikuite naniD?
majina yote nishamaliGza
aah eeh! wangu wa ubaniA
umeweza kunituliDza
aah eeh! mambo ya chumbanDi
yaani nalala huku napulizGwa
aah eeh! penzi zito taAni
napewa raha kupitiliDza
[pre chorus]
eeeh! Analambishwa aGsali
kwenye mzinga wa Anyuki, tamu ni haDtari
nalambishwa aGsali
nachezeshwa buAzuki, dudu chalicDhali
[chorus]
nimempata!D nimempata mtaalam Gnimempata
nimempata! Animempata mtaalam Dnimempata (mtaalamu wa mapenzi)
Dnimempata mtaalamu Gnimempata (fundi wa mafundi kungwi)
Animempata mtaalamu Dnimempata
[outro]
D G A DD G A D

About ChordBand.com

This is a website with music topics, released in 2016. We have a lot of very accurate guitar keys and song lyrics. Our guitar keys and ukulele are still original. We created a tool called transpose to convert it to basic version to make it easier for beginners to learn guitar tabs.

About Mbosso

Mbwana Yusuf Kilungi, better known by his stage name Mbosso, (Born: October 3, 1991) is a Tanzanian singer and songwriter signed under WCB Wasafi record label. Mbosso is known for his songs "Nadekezwa" and "Hodari" which won Video of the Year at HiPipo Awards 2019. Mbosso released his debut studio album, Definition of Love, in March 2021.
(By: wikipedia.org)

2 chords by Mbosso

  1. CHORDS Mtaalam
  2. CHORDS Sitaki

FAQ

TIPs

If you like this content, you can quickly find it back on google by typing chordband mtaalam »Try now!

No Comments

Author: Admin

Published: 2 years ago

View: 776 times

Reaction:

55
44
33
22
11
5/5 of 1 Votes