[intro]
C G C G
[verse (1)]
C G
Ndugu zangu napata malipo ya usariti
C G
Yakupendwa lakini nikawa sipendeki
C G
Sikujua machungu makali kiasi hiki
C G
Hii dozi inatibu vilivyo me sitaki
[pre chorus]
C
Whoaaa-- amenifanya nawaza
G
--wangapi niliowatenda
C G
--kila nikikumbuka-- najiona mshamba
[chorus]
C G F
--nguvu zinaniisha-- siwezi hata kusimama
C G F
--kinacho nisikitisha-- nastahili hayaa
C G F
--nguvu zinaniisha-- siwezi hata kusimama
C G F
--kinacho nisikitisha-- nastahili hayaa
[post chorus]
C G
Why why why why why oooh
C G
Why why why why why oooh
C G
Why why why why why oooh
C G
Why why why why why oooh
C G
--silali silali-- silali ( fofofoo )
C G
--silali silali-- silali ( fofofoo )
[verse (2)]
C
--ona hayaniishi mawazo ( aaaah )
G
--nyingi zinajirudia ( aaah )
C
--penzi lake ndo chanzo ( aaaah )
G
--mmmh malipo ni duniani
C G
--ahela kuhesabiwaa
C
me nipo bado rehanii
G
Nimejitela mwana mkiwaa eeh
[verse (3)]
C G
mmmh zile heshima kuninyenyekea
C
Nikamwona si chochote kwangu ( hahaa )
G
Eti mazima nikampotezea
C
Nilivyo maliza tu shida zangu ( hahaaa )
[bridge]
G C
Ukimuona mwambieni najiuguza najutia
G
Tena najiona limbukeni
C
Yamenifunza ya dunia
[pre chorus]
G
Yale machozi yasiyo na hatia
C
Yana nisubulubuu machozii ( mmmh )
G
Upweke najiinamia
C
Nishatubu nisameehe
[chorus]
C G F
Why why why why why oooh ( najiuliza kwa nini )
C G F
Why why why why why oooh
C G F
Why why why why why oooh
C G F
Why why why why why oooh ( aaah mwenzenu silali )
[post chorus]
C G
silali ( eeh ) silali ( eeh )
F
Silali ( fofofoo )
C G
silali ( eeh ) silali ( eeh )
F
Silali ( fofofoo )
C G
ona hayaniishi mawazo ( heheeeh )
C G
penzi lake ndo chanzo ( aaaah )
C G
mmmh - nguvu zinaniisha
F
Siwezi hata kusimama
C G F C
kinacho nisikitisha-- nastahili hayaa
( fade out )
Sheddy clever on the beat
FAQ
TIPs
If you like this content, you can quickly find it back on google by typing chordband why »Try now!No Comments